Subiri j2 utaelezea Manula vizuriNguvu nyingi za miguu za miguu alizonazo Aziz zinamsumbua sana katika kukadiria kupiga mpira kutoa pasi na hata kulenga lango, yaani mpira unakwenda kasi mno, unaenda mbali au unapaa juu ya lango hata kama akiugusa kidogo TU. Hata yeye anashangaa kwanini mpira hauendi pale alipoukusudia. Yeye anaona kama ameupiga kidogo TU lakini kumbe ameupiga sana. Hata watu wa boxing Wana shida ya kukadiria Kofi au ngumi pale wanapokusudia kutoa athabu kidogo TU kwa mtoto, mkewe au mtu mwingine.
Aangalie aina ya mazoezi yake pia kwenye gym
RageUtopolo, sijui nani aliwaibia akili..
Manura alishawahionja nguvu za mguu wa Aziz KiNguvu nyingi za miguu alizonazo Aziz zinamsumbua sana katika kukadiria kupiga mpira kutoa pasi na hata kulenga lango, yaani mpira unakwenda kasi mno, unaenda mbali au unapaa juu ya lango hata kama akiugusa kidogo tu.
Hata yeye anashangaa kwanini mpira hauendi pale alipoukusudia. Yeye anaona kama ameupiga kidogo tu lakini kumbe ameupiga sana. Hata watu wa boxing wana shida ya kukadiria kofi au ngumi pale wanapokusudia kutoa adhabu kidogo tu mtu.
Aangalie aina ya mazoezi yake pia kwenye gym.
AaahaaaaaKweli kabisa
Wewe wasemaUsituambie hivyo bana
Huyo uwezo wake ndiyo ulipoishia
Unataka kutuambia Aziz ndiyo mchezaji mwenye nguvu za miguu kuliko wachezaji wote duniani?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
hiziUsituambie hivyo bana
Huyo uwezo wake ndiyo ulipoishia
Unataka kutuambia Aziz ndiyo mchezaji mwenye nguvu za miguu kuliko wachezaji wote duniani?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app