Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
GSM alikuwa hapokei simu zake au ni uzushi?hata hapa najiulizahuko CAS fei na maandazi wenzie wanaenda kuongea nini?muislam mzima unakuwa mnafiki,kigeu geu,kupakazia watu ubaya...KWELI BORA KUCHAGUA ANDAZI
Kwamba mama yake na Andazi ndiyo hayo sijaelewa au kuna mengineUkiona hujaelewa ujue ulikuwa unasikiliza short clips au kusoma highlights za waandishi wa habari kutoka kwenye speech yake.
Zile zinachanganya sana, ila hayo yote ameyaongea na alikuwa anaulizwa maswali kuhusiana na yale madai ambayo yalikuwa yanavuma
kwaiyo haya ndo atakayoenda kuyazungumza CAS au!GSM alikuwa hapokei simu zake au ni uzushi?
Ni kweli Hersi aliomba radhi kwa mambo aliyomfanyia Feisali?
Ni kweli Feisali aliwahi kukaa masaa takribani 6 na Hersi kuzungumza kuwa anataka kuondoka, Hersi akamuambia nenda CAS?
Hayo ndio maswali ambayo yanatakiwa kujiuliza
Hata mimi mwenyewe sijakuelewaKwamba mama yake na Andazi ndiyo hayo sijaelewa au kuna mengine
katika moja ya malalamiko yake ni watu kumuita mama yake AndaziHata mimi mwenyewe sijakuelewa
Huyo dogo muongo lini mama yake aliitwa andazi?katika moja ya malalamiko yake ni watu kumuita mama yake Andazi
Hizi ndio hoja za kwenda nazo CAS? ila nyie watuGSM alikuwa hapokei simu zake au ni uzushi?
Ni kweli Hersi aliomba radhi kwa mambo aliyomfanyia Feisali?
Ni kweli Feisali aliwahi kukaa masaa takribani 6 na Hersi kuzungumza kuwa anataka kuondoka, Hersi akamuambia nenda CAS?
Hayo ndio maswali ambayo yanatakiwa kujiuliza
Hana ugomvi na Yanga, anaenda kushitaki CAS, huko CAS anashitakiwa Hersi au Club?Bado sijaelewa, huyu kijana anataka nini, maana kila baada ya muda mfupi anabadili maneno.
Mwanzo alisema analipwa kidogo hadi kushindwa kununua nyama, samaki na mchicha, kiasi cha kula Ugali na Sukari mithili ya Misukule ya maduka ya Kariakoo, sasa leo anasema aliondoka baada ya kunyanyaswa, sasa sisi tunaotaka kumsaidia hela za kwenda CAS tushike lipi?
Au ni kweli kwamba kuna watu nyuma yake wanamlisha maneno kiasi cha kusahau madai yake ya mwanzo?
Inashangaza kwa kweliHana ugomvi na Yanga, anaenda kushitaki CAS, huko CAS anashitakiwa Hersi au Club?
Mgomvi wake ni hersi , ugomvi wake binafsi na Hersi anaenda kuigomea club ambayo ndiyo ana mkataba nayo.