Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Bado sijaelewa, huyu kijana anataka nini, maana kila baada ya muda mfupi anabadili maneno.
Mwanzo alisema analipwa kidogo hadi kushindwa kununua nyama, samaki na mchicha, kiasi cha kula Ugali na Sukari mithili ya Misukule ya maduka ya Kariakoo, sasa leo anasema aliondoka baada ya kunyanyaswa, sasa sisi tunaotaka kumsaidia hela za kwenda CAS tushike lipi?
Au ni kweli kwamba kuna watu nyuma yake wanamlisha maneno kiasi cha kusahau madai yake ya mwanzo?