mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 549
- 614
Tatizo lilianza ghafla, indicators zikagoma kuwaka ,vioo havipandi na gari likazima, nilipojaribu kuliwasha tena taa zikawaka kwenye dashboard kama zinavyoonekana kwenye picha niliyoiambatanisha. Tafadhali wataalam naombeni ushauri wenu nini nifanye?leo nimejaribu kwenda kulichaji betri gari limewaka na kutembea kidogo lakini baada ya kulizima na kuwasha tenda likakataaView attachment 1047761