Shida ya gesi tumboni

gesi ni habari nyengine unaweza kudondoka na kupata stroke sababu ya huo upuuzi wa gesi,binafsi linanisumbua gesi ila now nakazia maji na mananasi
Yaani gas tumbon inasababishwa na acid nalafu unakunywa juice ya nanasi ambayo ni strong acid

Mm unajaribu kufanya
 
Tatizo haliwezi kuisha kama ulaji wako ni ule ule; kwa sasa unatakiwa ubadili mfumo wako wa chakula, kula vyakula vizuri mara kwa mara, supu ya sato, kongoro, kitimoto, juisi, matunda mchanganyiko, mboga za majani n.k​
Hizo zinaondoa acid?
Na je kwa maelezo hayo una uhakika ni acid kweli au ni tatizo lingine?

Mshauri aende hospital ultrasound sio kipimo sahihi cha acid wa vidonda vya tumbo
 
Pima maleria utakuja kunishukuru kaka
 
Epuka kutumia vyakula vinavyoleta gesi
 
SIRAAJUL MUNIYR HERBS MEDICINE

DAWA YA GESI TUMBONI
🌳 MAHITAJI 🌳
👉Asali robo lita
👉Arkasusi vijiko 3
👉Habat sauda vijiko 2

Changanya vitu hivyo vyema, habat sauda na arkasusi viwe vyaunga.

🌱 MATUMIZI 🌱
Lamba vijiko 2 kutwa mara 2.

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nasi
What's app/call
+255656303019
~Chief Sang'ida
 
SIRAAJUL MUNIYR HERBS MEDICINE
🌳 MSAGISAGI 🌳
⚡NI DAWA INAYOTIBU::-
👉VIDONDA VYA TUMBO.
👉GESI/ ASIDI TUMBONI
👉MAJERAHA/VIDONDA VYA KWENYE NGOZI.

MATUMIZI
⚡KOROGA KIJIKO KIDOGO KWA MAJI MOTO/MAZIWA/UJI KIKOMBE 1 KISHA KUNYWA.
FANYA HIVYO KUTWA MARA 3 SIKU 14.
⚡KWA UPANDE WA MAJERAHA YA NJE NYUNYIZIA KUTWA MARA MBILI.

KWA USHAURI NA TIBA ZA MARADHI MBALIMBALI WASILIANA NASI.
What's app/call
+255656303019
~Chief Sang'ida.
 
Kumbe ni hatari hivyo? Mimi nikila sana maharage inajaa ila nikilalia tumbo na kuachia mabomu kadhaa mambo yanakaa sawa 😎
Aisee gesi ni hatari sana, hivi hakuna dawa za kutibu hili tatizo? Mimi nimetumia dawa nyingi lkn hadi Leo haijaacha kunisumbua.
 
Mwili wa binadamu unahitaji Alkaline kwa wingi kukukinga na maradhi.

Limao ndio lenye Alkaline nyingi, kunywa glasi ya juice ya limao kabla ya kulala au glasi ya maji kamulia limao, lakini ni vizuri zaidi ukipata limao tupu glasi moja.

Case closed.
 
Mwili wa binadamu unahitaji Alkaline kwa wingi kukukinga na maradhi.

Limao ndio lenye Alkaline nyingi, kunywa glasi ya juice ya limao kabla ya kulala au glasi ya maji kamulia limao, lakini ni vizuri zaidi ukipata limao tupu glasi moja.

Case closed.
Limao ni citrus fruit Ambazo zote Zina weak acid.
 
Tumia Cocumber (Tango) hutajutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…