The Technologist
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,242
- 2,544
Mkuu Unakunywa eidha chai sana, ama unatumia vinywaji wa viwandani sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani gas tumbon inasababishwa na acid nalafu unakunywa juice ya nanasi ambayo ni strong acidgesi ni habari nyengine unaweza kudondoka na kupata stroke sababu ya huo upuuzi wa gesi,binafsi linanisumbua gesi ila now nakazia maji na mananasi
Hizo zinaondoa acid?Tatizo haliwezi kuisha kama ulaji wako ni ule ule; kwa sasa unatakiwa ubadili mfumo wako wa chakula, kula vyakula vizuri mara kwa mara, supu ya sato, kongoro, kitimoto, juisi, matunda mchanganyiko, mboga za majani n.k
Pima maleria utakuja kunishukuru kakaWakuu habari za muda.
Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea.
Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina.
Nimepima ultrasound bali sina shida.
Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa.
Nipeni maelezo na dawa tiba.
Epuka kutumia vyakula vinavyoleta gesiWakuu habari za muda.
Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea.
Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina.
Nimepima ultrasound bali sina shida.
Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa.
Nipeni maelezo na dawa tiba.
Mh una conclude kwa mashiko yapi Mkuu?Unapata kiungulia pia??
Zollinger ellison syndrome hio
Pole sana tumia antiacids pia badili diet yako
OkMh una conclude kwa mashiko yapi Mkuu?
Sidhani kama uko sahihi kufanya conclusion
☪ SIRAAJUL MUNIYR HERBS MEDICINE ☪Wakuu habari za muda.
Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea.
Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina.
Nimepima ultrasound bali sina shida.
Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa.
Nipeni maelezo na dawa tiba.
☪ SIRAAJUL MUNIYR HERBS MEDICINE ☪Wakuu habari za muda.
Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea.
Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina.
Nimepima ultrasound bali sina shida.
Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa.
Nipeni maelezo na dawa tiba.
Aisee gesi ni hatari sana, hivi hakuna dawa za kutibu hili tatizo? Mimi nimetumia dawa nyingi lkn hadi Leo haijaacha kunisumbua.Kumbe ni hatari hivyo? Mimi nikila sana maharage inajaa ila nikilalia tumbo na kuachia mabomu kadhaa mambo yanakaa sawa 😎
Nilitumia hii dawa lkn sikupata unafuu, lbd sikufuata maelezo vizuri. Hebu nambie namna ya kutumia hii bicarbonateTumia bicarbonate
Mwili wa binadamu unahitaji Alkaline kwa wingi kukukinga na maradhi.Wakuu habari za muda.
Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea.
Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina.
Nimepima ultrasound bali sina shida.
Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa.
Nipeni maelezo na dawa tiba.
Limao ni citrus fruit Ambazo zote Zina weak acid.Mwili wa binadamu unahitaji Alkaline kwa wingi kukukinga na maradhi.
Limao ndio lenye Alkaline nyingi, kunywa glasi ya juice ya limao kabla ya kulala au glasi ya maji kamulia limao, lakini ni vizuri zaidi ukipata limao tupu glasi moja.
Case closed.
Chungwa halifai lina citrus acid.Limao ni citrus fruit Ambazo zote Zina weak acid.
Tumia Cocumber (Tango) hutajutia.Wakuu habari za muda.
Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea.
Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina.
Nimepima ultrasound bali sina shida.
Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa.
Nipeni maelezo na dawa tiba.
Drop ya lita moj??? Tone la lita moja ndo inakuwaje hapadrop ya lita moja unapiga fundo 2/3 inatakiwa iishe lengo ni kuweka pressure kwenye holes/tumbo