Shida ya kupumua

Shida ya kupumua

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
776
Nina miaka 38 na uzito wa kilo 115. kulingana na urefu wangu I am already overweight approaching obese.

Pia ni mnywaji wa pombe beer, nilikuwa nakunywa whisky daktari akanikaza. Shida ninayo ipata nikinywa sana kesho yake nakuwa na shida ya pumzi nakuwa siwezi hema vizuri ila hainizuii kufanya kazi. Ikifika usiku napata shida sana wakati wa kulala kwani nashindwa hema vizuri though baadae usingizi unanichukua.

Then next day nakuwa okay kabisa.

Naomba ushauri wa kitaalamu and not jokes.
 
Achana na pombe kabisa, pia jitahidi kupunguza uzito.
 
Back
Top Bottom