peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tutegeni masikio tusikilize!
---
Wananchi wa Mkoa wa Mara wamejitokeza kutoa malalamiko yako kuhusu shida ya maji katika Mkoa wao.
Wakazi hao wanadai maji yanayopatikana ni mabaya yanawasababishia muwasho na kuwafanya watokewe na unga unga. Aidha, wanadai maji hayo yamewashinda hata mifugo ya Mkoa huo.
Wakazi hao ambao wengi wao ni Kinamama wametoa wito kwa Rais Samia kuingilia kati ya kutatua shida yao ili waondokane na adha hiyo.