Shida ya maji Mara: Kinamama wamlilia Rais Samia awatatulie shida yao

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Tutegeni masikio tusikilize!
---
Wananchi wa Mkoa wa Mara wamejitokeza kutoa malalamiko yako kuhusu shida ya maji katika Mkoa wao.

Wakazi hao wanadai maji yanayopatikana ni mabaya yanawasababishia muwasho na kuwafanya watokewe na unga unga. Aidha, wanadai maji hayo yamewashinda hata mifugo ya Mkoa huo.

Wakazi hao ambao wengi wao ni Kinamama wametoa wito kwa Rais Samia kuingilia kati ya kutatua shida yao ili waondokane na adha hiyo.
Your browser is not able to display this video.
 
Alisema yeye ni chura kiziwi. Unaongea yanapitia huku yanatokea kule
 
Samia akichaguliwa na wananchi 2025 kuwa rais, nipigwe life ban hapa JF
 
Uchaguzi ukifika CCM mbele kwa mbele, pumbafu zenyu.
 
Si inasemekana Tz ndio ina waziri bora wa maji kushinda wote duniani! imekuwaje tena?
 
Badala wainhia Barabarani wanamlilia? Maji ni hitaji la msingi la mwanadamu
 
Huko Mara ni sikio la Kufa ,Ziwa liko hapo hapo lakini maji kero sana. Pale Butiama ni nyumbani kwa baba wa Taifa lakini huu mwaka mimi nimeona maji kwenye bomba mara 2 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…