Shida ya mtu kuwa na madaraka makubwa kama malkia

Wateule wanakuwa na hofu,unafiki muda wote ike this bastard

Kwa izo pigo za brother angu chalamila πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£ ningekua nipo hapo kwenye huo ujumbe

Mimi ningeweza kuangua kicheko nikafukuzwa/ kupotezwa πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

Sema mwanangu min -me Huwa nikipiga Tungi nakua mtu serious na nisiye cheka kabisa πŸ˜‚πŸ€£ hapo ninge enda nikiwa nimepiga walau Tungi kimtindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…