Malkia (Hebrew: מלכיה) is a kibbutz in northern Israel. Located near the Lebanese border and Kiryat Shmona, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2024 it had a population of 500.
Queen Suthida, na miaka yake 48, kawa first female mornach kuendesha fighter jet peke yake.
Kwenye moja ya air base nchini Thailand, Malkia kaendesha peke yake Single-seat JAS 39C Gripen kwa muda wa dakika 41.
Maza ana CV nzuri tu ya kuendesha ata kabla hajawa Queen. Amewahi kua pilot tokea...
Tumsifu yesu kristu.
Tupo ndani ya octoba (mwezi wa kumi), ni mwezi ambao kanisa katoliki liliuchagua kuwa mwezi maalumu wa rozari takatifu kwa ajili ya kumuenzi mama bikira aliye mama wa mkombozi na mwombezi wetu.
Ingawa rozari husaliwa na wakristo kila siku ila kanisa liliona ni vyema...
Jioni ya jana nilitumia muda mwingi kusoma mapinduzi makubwa yaliyotokea katika nchi nyingi duniani. Nikaanza na ya Urusi pale wananchi walipoitoa madarakani serikali ya mabwanyenye na kumuweka Vladimir Lenin madarakani ya mwaka 1917, baadaye nikahamia mapinduzi makubwa ya Iran ya mwaka 1979...
⚠️ ANGALIZO LA MWANDISHI (DISCLAIMER)
Makala hii ni kazi ya sanaa ya kubuni (Fiction Story/Creative Writing). Mtunzi amebuni majina ya wahusika, matukio, na maeneo (ikiwemo nchi ya kufikirika ya Ugagagigikoko na mtawala Malkia Huihui) akivuta kumbukumbu zake za utotoni wakati akisoma vitabu vya...
Hamjambo!
Nitaendelea kutoa elimu humu kilazima lazima. Najua vipo vichwa vyenye moshi havipendagi.
Nyuma ya pazia la utawala niliwahi kugusia mada hiyo kwa uchache. Nikijaribu kuwaambia wale vijana wenye ndoto kubwa za kuwa Namba moja, sio my number one ya Diamond. Hapana, Nazungumzia Jokery...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.