Nilala Nikaota Malkia Huihui Kapinduliwa Ugagagigikoko, Kuamka Kumbe Ndoto!

Kijana wa Ifoza

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,180
Reaction score
2,302
Jioni ya jana nilitumia muda mwingi kusoma mapinduzi makubwa yaliyotokea katika nchi nyingi duniani. Nikaanza na ya Urusi pale wananchi walipoitoa madarakani serikali ya mabwanyenye na kumuweka Vladimir Lenin madarakani ya mwaka 1917, baadaye nikahamia mapinduzi makubwa ya Iran ya mwaka 1979. Nikayapitia mapinduzi ya damu ya Zanzibar ya mwaka 1964. Nikaongeza kusoma pia Mapinduzi ya Ufaransa ya mwaka 1789 yaliyofuta mfumo wa kifalme, na yale ya Cuba ya mwaka 1959 yaliyomleta Fidel Castro madarakani. Baadaye nikaingia kitandani na kulala.

Wakati nikiwa usingizini, jinamizi lilinizidia na nikaanza kuota ndoto kwamba kumetokea mapinduzi ya amani katika nchi ya Ugagagigikoko. Kwenye ndoto hiyo, wanajeshi vijana na wa ngazi ya chini kabisa walikuwa wamechukua madaraka ya nchi. Walichokifanya kwanza ilikuwa ni kumuweka Malkia Huihui, Mkuu wa Majeshi, IGP, na wakuu wote wa vyombo vya usalama chini ya ulinzi wa nyumbani (house arrest).
Muda mfupi baadaye, wanajeshi hao vijana walionekana kwenye Televisheni ya Taifa na kutangaza rasmi kuwa wamechukua nchi. Walifafanua kuwa wapo hapo kwa muda tu, wakitayarisha serikali ya mpito itakayoakisi hali halisi ya nchi kupitia vyama vyote vya siasa. Waliliambia taifa waziwazi kuwa nia yao si kutawala, bali watakuwa viongozi wa kusimamia utengenezaji wa Katiba Mpya na baadaye kurudisha madaraka kwa raia kwa kusimamia uchaguzi huru wa kwanza nchini. Walitoa ratiba (timeline) kuwa baada ya mwezi mmoja watatangaza serikali hiyo ya mpito itakayoongozwa na raia waadilifu, ambao watapewa jukumu maalum la kuratibu uandishi wa katiba hiyo.

Wakati huohuo, vijana hao waliuambia umma kuwa viongozi wote wakuu na wastaafu wa nchi—ambao uongozi wao mpya unaona wana hoja za kujibu—watasalia chini ya ulinzi mpaka wananchi wenyewe watakapoamua hatma yao kupitia kura ya maoni (referendum) itakayofanyika nchi nzima.

Ajabu ni kwamba, nikaota kuwa kwenye hiyo serikali ya mpito, vijana wale walimteua pia Mzee wa chama cha Huihui—yule mzee ambaye hakuwahi kutetereka kukisema na kukisahihisha chama chake. Alipewa nafasi ya Mwanasheria Mkuu ili kusimamia utekelezaji wa Katiba, kazi ambayo hakuwahi kuimaliza huko nyuma wakati Ugagagigikoko ilipotaka kutengeneza katiba mpya.
Ghafla mambo yalianza kubadilika kwa kasi ya ajabu. Mitaani kulijaa shangwe za amani; wananchi walitoka bila hofu wakigawa maua na kuimba nyimbo za ukombozi. Lile genge la matajiri wakubwa waliokuwa wakishirikiana na Malkia kupora rasilimali za nchi lilivunjwa, na mali zote zilizochukuliwa kifisadi zikaanza kurejeshwa kwa umma. Wananchi wote waliokuwa wamekimbia nchi walioombwa kurudi nyumbani kuisaidia kuendeleza nchi yao, na wale wote waliokuwa wamebambikiwa kesi za kisiasa walifutiwa mashtaka yao mara moja.

Kama hiyo haitoshi, vijana hao waliahidi wananchi wa Ugagagigikoko kuwa kama kutatokea kesi zozote za kisheria, mahakama hiyo itaongozwa na majaji waadilifu kutoka nje ya nchi, hususani kutoka Jumuiya ya Madola (Commonwealth) kwa sababu Ugagagigikoko ni mwanachama wake. Pia waliahidi kutafuta wachunguzi nguli wa kimataifa kuchunguza upoteaji wa raia wote, pamoja na kubaini waliokuwa nyuma ya jaribio la mauaji (assassination attempt) dhidi ya mmoja wa wakosoaji wakubwa (critics) wa serikali ya Mfalme Binta. Jumuiya ya kimataifa, ambayo hapo awali ilikaa kimya, ilianza kutuma salamu za kupongeza mageuzi ya kihistoria yaliyotokea.

Katika ndoto ile, mchanganyiko wa matumaini makubwa na hofu ya hatma ya nchi ulinifanya niguswe sana hadi nikaanza kulia kwa hisia kali nikiwa usingizini. Nikiwa bado ninalia kwa mshtuko huo mkubwa, ghafla nilizinduka! Niliketi kitandani huku nikipumua kwa tabu na kuangaza macho chumbani kwangu. Niliwahi haraka simu yangu na kufungua mitandao ya habari ili kuona kilichojiri. Kwenye runinga na kurasa zote za habari, picha ya kwanza kuiona ilikuwa ni ya Malkia Huihui akitabasamu na kutoa hotuba yake ya asubuhi. Kila kitu kilikuwa shwari kabisa. Hakuna vifaru barabarani, hakuna matangazo ya kijeshi, na bendera bado inapepea kama kawaida. Malkia bado yupo madarakani, thabiti na mwenye nguvu. Nilishusha pumzi ndefu na kutabasamu peke yangu, nikagundua kuwa kumbe yote yale yaliyotikisa hisia zangu yalikuwa ni ndoto tu!

Weekend njema na mbaki salama.
 
Gentleman,
iombee sana familia, ndoa, biashara yako, kazi yako au mahusiano yako,
kama umeota ndoto kweli,
basi huo ni ujumbe tosha kwako binafsi,
kwamba unapaswa kua chonjo na kujiandaa kimwili na kiroho, kwasababu kuna mapinduzi yanakuja kwenye maisha yako, familia yako, ndoa yako, biashara yako au mahusiano yako.

Zidisha maombi,
na muombe sana Mungu akuepushe na fedheha hiyo.
kwa jina la Baba na la mwana na la roho mTakatifu Aimen :1Head:
 
Jioni ya jana nilitumia muda mwingi kusoma mapinduzi makubwa yaliyotokea katika nchi nyingi duniani. Nikaanza na ya Urusi pale wananchi walipoitoa madarakani serikali ya mabwanyenye na kumuweka Vladimir Lenin madarakani ya mwaka 1917, baadaye nikahamia mapinduzi makubwa ya Iran ya mwaka 1979. Nikayapitia mapinduzi ya damu ya Zanzibar ya mwaka 1964. Nikaongeza kusoma pia Mapinduzi ya Ufaransa ya mwaka 1789 yaliyofuta mfumo wa kifalme, na yale ya Cuba ya mwaka 1959 yaliyomleta Fidel Castro madarakani. Baadaye nikaingia kitandani na kulala.

Wakati nikiwa usingizini, jinamizi lilinizidia na nikaanza kuota ndoto kwamba kumetokea mapinduzi ya amani katika nchi ya Ugagagigikoko. Kwenye ndoto hiyo, wanajeshi vijana na wa ngazi ya chini kabisa walikuwa wamechukua madaraka ya nchi. Walichokifanya kwanza ilikuwa ni kumuweka Malkia Huihui, Mkuu wa Majeshi, IGP, na wakuu wote wa vyombo vya usalama chini ya ulinzi wa nyumbani (house arrest).
Muda mfupi baadaye, wanajeshi hao vijana walionekana kwenye Televisheni ya Taifa na kutangaza rasmi kuwa wamechukua nchi. Walifafanua kuwa wapo hapo kwa muda tu, wakitayarisha serikali ya mpito itakayoakisi hali halisi ya nchi kupitia vyama vyote vya siasa. Waliliambia taifa waziwazi kuwa nia yao si kutawala, bali watakuwa viongozi wa kusimamia utengenezaji wa Katiba Mpya na baadaye kurudisha madaraka kwa raia kwa kusimamia uchaguzi huru wa kwanza nchini. Walitoa ratiba (timeline) kuwa baada ya mwezi mmoja watatangaza serikali hiyo ya mpito itakayoongozwa na raia waadilifu, ambao watapewa jukumu maalum la kuratibu uandishi wa katiba hiyo.

Wakati huohuo, vijana hao waliuambia umma kuwa viongozi wote wakuu na wastaafu wa nchi—ambao uongozi wao mpya unaona wana hoja za kujibu—watasalia chini ya ulinzi mpaka wananchi wenyewe watakapoamua hatma yao kupitia kura ya maoni (referendum) itakayofanyika nchi nzima.

Ajabu ni kwamba, nikaota kuwa kwenye hiyo serikali ya mpito, vijana wale walimteua pia Mzee wa chama cha Huihui—yule mzee ambaye hakuwahi kutetereka kukisema na kukisahihisha chama chake. Alipewa nafasi ya Mwanasheria Mkuu ili kusimamia utekelezaji wa Katiba, kazi ambayo hakuwahi kuimaliza huko nyuma wakati Ugagagigikoko ilipotaka kutengeneza katiba mpya.
Ghafla mambo yalianza kubadilika kwa kasi ya ajabu. Mitaani kulijaa shangwe za amani; wananchi walitoka bila hofu wakigawa maua na kuimba nyimbo za ukombozi. Lile genge la matajiri wakubwa waliokuwa wakishirikiana na Malkia kupora rasilimali za nchi lilivunjwa, na mali zote zilizochukuliwa kifisadi zikaanza kurejeshwa kwa umma. Wananchi wote waliokuwa wamekimbia nchi walioombwa kurudi nyumbani kuisaidia kuendeleza nchi yao, na wale wote waliokuwa wamebambikiwa kesi za kisiasa walifutiwa mashtaka yao mara moja.

Kama hiyo haitoshi, vijana hao waliahidi wananchi wa Ugagagigikoko kuwa kama kutatokea kesi zozote za kisheria, mahakama hiyo itaongozwa na majaji waadilifu kutoka nje ya nchi, hususani kutoka Jumuiya ya Madola (Commonwealth) kwa sababu Ugagagigikoko ni mwanachama wake. Pia waliahidi kutafuta wachunguzi nguli wa kimataifa kuchunguza upoteaji wa raia wote, pamoja na kubaini waliokuwa nyuma ya jaribio la mauaji (assassination attempt) dhidi ya mmoja wa wakosoaji wakubwa (critics) wa serikali ya Mfalme Binta. Jumuiya ya kimataifa, ambayo hapo awali ilikaa kimya, ilianza kutuma salamu za kupongeza mageuzi ya kihistoria yaliyotokea.

Katika ndoto ile, mchanganyiko wa matumaini makubwa na hofu ya hatma ya nchi ulinifanya niguswe sana hadi nikaanza kulia kwa hisia kali nikiwa usingizini. Nikiwa bado ninalia kwa mshtuko huo mkubwa, ghafla nilizinduka! Niliketi kitandani huku nikipumua kwa tabu na kuangaza macho chumbani kwangu. Niliwahi haraka simu yangu na kufungua mitandao ya habari ili kuona kilichojiri. Kwenye runinga na kurasa zote za habari, picha ya kwanza kuiona ilikuwa ni ya Malkia Huihui akitabasamu na kutoa hotuba yake ya asubuhi. Kila kitu kilikuwa shwari kabisa. Hakuna vifaru barabarani, hakuna matangazo ya kijeshi, na bendera bado inapepea kama kawaida. Malkia bado yupo madarakani, thabiti na mwenye nguvu. Nilishusha pumzi ndefu na kutabasamu peke yangu, nikagundua kuwa kumbe yote yale yaliyotikisa hisia zangu yalikuwa ni ndoto tu!

Weekend njema na mbaki salama.
Amen.
 
1790955664341.png
 
Ni ndoto tu, Lakini itakayotimia muda si mrefu ujao..
 
Kusema umeota kile na kile
Ukiota mambo ya Siasa jua kile umekiota ndio tamanio lako kichwani mwako!!!

Ndoto za Siasa zinaendana na kile kinakusimbua kila siku kila siku

Leo kaote Heche kapinduliwa!!!!!
Kaote Lissu kafungwa
miaka 29 !!!!
 
Unapanic hadi ndoto ikiwa kweli je.
 
Back
Top Bottom