Nilala Nikaota Malkia Huihui Kapinduliwa Ugagagigikoko, Kuamka Kumbe Ndoto!

Nilala Nikaota Malkia Huihui Kapinduliwa Ugagagigikoko, Kuamka Kumbe Ndoto!

Kusema umeota kile na kile
Ukiota mambo ya Siasa jua kile umekiota ndio tamanio lako kichwani mwako!!!

Ndoto za Siasa zinaendana na kile kinakusimbua kila siku kila siku

Leo kaote Heche kapinduliwa!!!!!
Kaote Lissu kafungwa
miaka 29 !!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bila kuona neno katiba mpya wallah nchi ya ugagagig.... nisingeelewq kabisa
 
Kusema umeota kile na kile
Ukiota mambo ya Siasa jua kile umekiota ndio tamanio lako kichwani mwako!!!

Ndoto za Siasa zinaendana na kile kinakusimbua kila siku kila siku

Leo kaote Heche kapinduliwa!!!!!
Kaote Lissu kafungwa
miaka 29 !!!!
Suala si nani afungwe au nani apinduliwe kama unavyopanga ratiba ya kuota. Ndoto yangu ya mwisho ina ujumbe mzito: Malkia Huihui wa Ugagagigikoko aliwatupa mkono machawa wake wote, akawapeleka kwenye mti uliojaa mamba na kuwatendea yale ya Iddi Amini baada ya kuona hawana tija.
Cha kusikitisha ni kwamba, baada ya machawa wengi kupitiwa na kupelekwa kuliwa na mamba, hapa jamvini tuliwamisi sana. Japo hawakuwa na umuhimu wowote, vile vituko vyao na sarakasi zao ndizo zilizotufanya tuwakumbuke kwa burudani. Somo hapa ni kwamba propaganda na uchawa zina kikomo chake; hata viongozi wakiamka na kukabili uhalisia, chawa huwa wa kwanza kuliwa na mfumo walioulea
 
Back
Top Bottom