Spika kabisa unaona poa kushadadi ajira za kujitolea yaani mtu anasoma mpaka university halafu manaona kumpa cheap labour ndo halali yake, kweli.
Badala ya spika wa bunge kukemea hilo we ndo kwanza unaona poa tu unalitumia kuwakandamiza wengine ili nao wajitolee ili kupata kazi.
Halafu mobunge ilivyo mizezeta haikemei hilo kabisa.
Mchi hii tuna wasomi kweli au wasomi wa boom tu. Where are the critical thinkes as before?