Janice Member Joined Aug 31, 2011 Posts 48 Reaction score 11 Dec 27, 2011 #1 nitapata wapi nyumba yenye room 2 na sebule kwa bei rahisi ya angalau TZS150,000 p.m!!!nina shida kweli ila sehemu nyingi bei iko juu,ningependa maeneo ya tabata,ubungo external,kijitonyama. Naomba msaada wenu kwa yeyote mwenye information
nitapata wapi nyumba yenye room 2 na sebule kwa bei rahisi ya angalau TZS150,000 p.m!!!nina shida kweli ila sehemu nyingi bei iko juu,ningependa maeneo ya tabata,ubungo external,kijitonyama. Naomba msaada wenu kwa yeyote mwenye information
1 19don JF-Expert Member Joined May 13, 2011 Posts 672 Reaction score 206 Dec 28, 2011 #3 ipo majohe room 2 sebule, jiko , choo na bafu maji na umeme wa luku kwa kila nyumba bei 200,000 kama unataka ni pm
ipo majohe room 2 sebule, jiko , choo na bafu maji na umeme wa luku kwa kila nyumba bei 200,000 kama unataka ni pm