Shida ya nyumba

Shida ya nyumba

Janice

Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
48
Reaction score
11
nitapata wapi nyumba yenye room 2 na sebule kwa bei rahisi ya angalau TZS150,000 p.m!!!nina shida kweli ila sehemu nyingi bei iko juu,ningependa maeneo ya tabata,ubungo external,kijitonyama.
Naomba msaada wenu kwa yeyote mwenye information
 
ipo majohe room 2 sebule, jiko , choo na bafu maji na umeme wa luku kwa kila nyumba bei 200,000 kama unataka ni pm
 
Back
Top Bottom