K Kishalu JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,173 Reaction score 711 Dec 9, 2012 #1 Jamani kuna nini tena mbona mafuta hamna vituoni, sasa tutafikaje majumbani hebu tupeni taarifa kama kuna mgomo baridi
Jamani kuna nini tena mbona mafuta hamna vituoni, sasa tutafikaje majumbani hebu tupeni taarifa kama kuna mgomo baridi