Shida ya simba ni namba 10, au winga ya Mpanzu?

Yaani inashangaza sana hii timu asee mpira umebadorika sana kwa sasa africa ila somba bado inadhani mpira ni uleule.

Unashindwa vipi kusajili wachezaji wenye vipaji sample ya paccome na kina boka au yaoyao..yaani Viongozi wa simba wanatukosea sanasana.
hao wachezaji ni long term scouting, sio wa kuwavizia.
 
Yaani inashangaza sana hii timu asee mpira umebadorika sana kwa sasa africa ila somba bado inadhani mpira ni uleule.

Unashindwa vipi kusajili wachezaji wenye vipaji sample ya paccome na kina boka au yaoyao..yaani Viongozi wa simba wanatukosea sanasana.
Wachezaji wakisajiliwa Simba wanakuwa wabovu, hata kina Pacome na Boka wakienda Simba mtawakataa
 
Yaani inashangaza sana hii timu asee mpira umebadorika sana kwa sasa africa ila somba bado inadhani mpira ni uleule.

Unashindwa vipi kusajili wachezaji wenye vipaji sample ya paccome na kina boka au yaoyao..yaani Viongozi wa simba wanatukosea sanasana.
Shida ya simba wanashindwa kuwalinda wachezaji wao,
Mchezaji atakuja akiwa na kiwango bora kabisa,,baada ya muda anafifia.

Wachezaji wa upande wa pili kila siku wanafanyiwa duwa mbali mbali.
 
Simba tunahitaji washambuliaji hatari aina ya Mpanzu,,
Na sio kulundika kundi la washambuliaji machachari.

Big up uongozi wa sinba kwa kumleta Mpanzu.
Braza ee, wewe huyo mpanzu ulimuona wapi? Mana Ligi ya Drc haionyeshwi kokote..
Ulimuona kwny mechi ipi.
Au unaendeshwa na mkumbo.

Hiyo As Vita yenyewe ilishapotea kwny ushindani kitambo sana...Hata Namungo tu haiwezi kuifunga.

Fikiria Kama leo kuna wachezaji kutoka As Vita wanasajiriwa Singida na wanakalia benchi..
 
Messi na ronaldo ulishawahi kuwaona wp zaidi ya kwenye tv?

Sasa ukiambiwa ni wachezaji wazuri bado utashupaza shingo?kwa ubishi?
 
Back
Top Bottom