Soma hii hapa chini
Freeman Mbowe alianza kufanya biashara akiwa na miaka 23,anasema hali ya biashara nchini ilikuwa mbaya baada ya Azimio la Arusha. Pia Mbowe anasema baba yake alikataa Ujamaa na ndipo walipo tengana na Mwalimu akamwambia “tutabaki marafiki lakini niache niendelee na biashara zangu"
Hapa ndipo vita iliyopo mjamaa na mbepari.
Ukijifanya mjamaa sharti uumizwe vibaya sana. Hayati Dkt. Magufuli alikuwa mjamaa kati ya mabepari mbwamwitu
Mfanyabishara wa Tanzania ni mbepari na siyo mjamaa.Ndiyo maana ni wakwepa kodi wakubwa.Hawako tayari kuwa mawakala wa serikali kutusaidia kukusanya kodi kutoka kwa wananchi
Ukifanya vita na wafanyabiasha utaumia sana. Hili Hayati Magufuli alilijua lakini hakuwa makini sana na mahala pengine yawezekana alikuwa peke yake. Waliyomzunguka walikuwa mabepari na ndiyo maana baada ya kufariki tumeona wengi wa kupanua midomo kupinga sera zake.
Tunaitaji kufanya reforms ili kama taifa tuchakue kuwa wajamaa au mabepari. Bila hivyo kuendelea na yote ma wili tutaumizana bure Unahitaji akili nyingi kufanya urafiki na mbepari wakati wewe ni mjamaa. eg Kenya vs Tanzania.
Nawapenda wabepari kwa sababu wanafanya kazi kwa bidii. Ukiniambia kati ya mtanzania na mkenya nani wa kuajiri kwanza nitakwambia Mkenya.
Falsafa ya mbepari ni: Chukua chako kwanza, yani ni wakina vyangu vyangu kwanza, vyetu baadaye.
Hata sera ya majimbo ya chadema ni mbepari mtupu. Vyangu vyangu kwanza. kidogo vitakuwa vyetu.