Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 270
- 362
Serikali ya Rais Samia Suluhu itatumia kiasi cha Tsh. Bil 130/- kwenye ujenzi wa kituo cha kupooza umeme Chalinze mkoani Pwani. Kituo hiko kinatajwa kuwa kikubwa, na cha kwanza nchini ambacho kitakuwa na jukumu la kupooza umeme unaotoka katika bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP).
Mradi huo unaitwa (400 | 220/132 | 33 kV), utakapokamilika utasambaza umeme katika mikoa mbalimbali nchini na nje ya nchi, ikiwemo Zambia ambapo kwa sasa, umefikia 17%.
Alisema kituo hicho , kinatarajia kupokea kV 400 za umeme kwa mara ya kwanza ya kwanza kutoka bwawa hilo, kisha kilovoti 200 na kilovoti 132 ambao utapelekwa Dar es Salaam, Dodoma na maeneo mbalimbali ya ndani na nje na ndani ya nchi.