runtown
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 844
- 1,163
Wazee hapa mtusaidie tu kupaza sauti maana hali sio shwari kipindi hiki cha watu kurudi makazini kwao.
Polisi kitengo cha usalama barabarani wamezuia magari kwa kigezo cha uhakiki wa leseni kitu ambacho kimesababisha shida na kero kwa wasafiri wilayani Rombo.
Mtu unakaa stand hadi unachoka na kupata gari hupati na ukipata sehemu ya nauli 1000 unaenda hadi na 3000.