Sawa vumilia polisi wafanye kazi Yao muwe salama usiwe na haraka Rudi hapo mashati upumzikeRoute fupi naongelea sio masafa marefu
Ni vyema wasikague leseni waache magari yatembee huru kama zifanyavyo bodaboda.Wazee hapa mtusaidie tu kupaza sauti maana hali sio shwari kipindi hiki cha watu kurudi makazini kwao.
Polisi kitengo cha usalama barabarani wamezuia magari kwa kigezo cha uhakiki wa leseni kitu ambacho kimesababisha shida na kero kwa wasafiri wilayani Rombo.
Mtu unakaa stand hadi unachoka na kupata gari hupati na ukipata sehemu ya nauli 1000 unaenda hadi na 3000.
Me ni dereva ni kua kuna trafic hawaweka utaratibu mzuri wa kazi yaoWewe ni mgeni huko ? Miaka yote kipindi kama hiki usafiri unasumbua sana,,,, ni kipnd ambacho sikukuu zimeisha watu wanarudi makazini kwao, pia ni kipindi shule zinafunguliwa wanafunzi wengi wanaenda kuripoti !
Pia usisahau wilaya ya rombo huenda ndio wilaya inayopata wageni wengi sana msimu wa krismass na mwaka mpya compared to wilaya nyinginezo !