Shida yote hii inasababishwa na

Shida yote hii inasababishwa na

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
946
Reaction score
771
Twende na trend....

Shida yote hii inasababishwa na uhaba wa sukari .

Endelea.
 
#Shida yote hii inasababishwa na mapenzi kutawala fikra
 
Shida yote hii inasababishwa na kutokujua thamani yako katika hii dunia
 
#shida yote hii inasababishwa na meneno ya jerry muro
 
Kuongezeka matukio ya mauaji
#Shida yote hii inasababishwa na watu kukosa hofu ya Mungu
 
#Shida yote hii inasababishwa na akili ndogo kutawala akili kubwa!
 
Ajali za barabarani
#Shida yote hii inasababishwa na uchovu wa madereva
 
Back
Top Bottom