Shida za watu ndizo zinazokuponza

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ukiachana kushughulika na shida za watu hakika utafanikiwa ndo maana matajiri Wengi Wana roho ngumu.sie wengine tuna huruma Sana hatuwezi kukuona unakufa tukashindwa kukusaidia na huku tuna hela.kufupisha habari Ni kwamba fanya tathmini ya hela unazopoteza utagundua nyingi unajitoa na kujiumiza kwa ajili ya wengine aidha familia au marafiki n.k..tunafanyia watu kazi ila fresh kwa kuwa hatufi kwa njaa.
 
Kwani we mpaka unakuwa unajua familia ilijinyima kiasi gani mpaka uko hapo
 
Background yako/familia/majukumu vitaamua uwe sonko au ufe kapuku tu. Hata hivyo vita ni kubwa kufikia maisha unayotaka
 
Ukizidisha huruma tegemea kuteseka zaidi...
Maisha yanahitaji ukaksi wakati mwingine hata kuonja damu ya mtu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…