ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ukiachana kushughulika na shida za watu hakika utafanikiwa ndo maana matajiri Wengi Wana roho ngumu.sie wengine tuna huruma Sana hatuwezi kukuona unakufa tukashindwa kukusaidia na huku tuna hela.kufupisha habari Ni kwamba fanya tathmini ya hela unazopoteza utagundua nyingi unajitoa na kujiumiza kwa ajili ya wengine aidha familia au marafiki n.k..tunafanyia watu kazi ila fresh kwa kuwa hatufi kwa njaa.