MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Kazi ndio kipimo cha UTU bob! We wa wapi, Mzee Baba?MATATIZO KIPIMO CHA UTU
hakun darasa la kipekee kama la shidaAsee ukiwa na shida ;-
1. Watu hawata uona umuhimu wako
2. Watu hawata ijua thamani Yako
3. Watu watamdharau Mungu wako
Dah! Sio poa wanangu!! Sio poa!
Hakika kaka. Hapa ndio utajua nani ni rafiki yako na nani mnafiki tu. Hata baba/mama yako anaweza kukuona useless tu kama takataka.MATATIZO KIPIMO CHA UTU
Mwanamke anayeweza kusimama na mwanaume wakati wa shida/msoto, huyo ndio rafiki wa kuoa.hakun darasa la kipekee kama la shida
Wapo wachache hawatakuacha hata bila kukupa pesa watakupa ushauri wa maanaShida zako zibebe mwenyewe,ukisema uombe ushauri Kwa watu utaishia kuchekwa na na kukatishwa tamaa
Mamaee shida haina Adabu! Dah!hakun darasa la kipekee kama la shida
Ukiwa na shida ndio utapima utu wa hao unaowaita marafiki kama ni kweli comrade in arms ama ni snitches tu.Kazi ndio kipimo cha UTU bob! We wa wapi, Mzee Baba?
Dah!Hakika kaka. Hapa ndio utajua nani ni rafiki yako na nani mnafiki tu. Hata baba/mama yako anaweza kukuona useless tu kama takataka.
ukiwa makini unatoka na darasa la kipekee sana kwenye shida. kuwa makini inakufundisha nn?Mamaee shida haina Adabu! Dah!
Trust me brother. Kwa vile tu dunia ni mali ya Mungu ndio maana sisi wengine bado tunapigana mpaka sasa.Dah!
Fresh tu! Kuna nini tena!Shida zako zibebe mwenyewe,ukisema uombe ushauri Kwa watu utaishia kuchekwa na na kukatishwa tamaa
Kama mimi, for the past two years, I have learned a lot kupitia shida na manyanyaso.ukiwa makini unatoka na darasa la kipekee sana kwenye shida. kuwa makini inakufundisha nn?
Umetisha Mzee Baba!Mwanamke anayeweza kusimama na mwanaume wakati wa shida/msoto, huyo ndio rafiki wa kuoa.
Mzee vipi kule Dodoma Ikulu walikufikiria au ndio walikuchinjia baharini mazima?Fresh tu! Kuna nini tena!
1. Watapigana nawe ili wakuangushe
2. Watakuignore
3. Watakucheka
4. Utawin
99.5% sniches & bitchesUkiwa na shida ndio utapima utu wa hao unaowaita marafiki kama ni kweli comrade in arms ama ni snitches tu.
Kama yupo wa hivyo amekuelewa, vuta jiko hilo kaka mkubwa.Umetisha Mzee Baba!