MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
- #21
Au sio!ukiwa makini unatoka na darasa la kipekee sana kwenye shida. kuwa makini inakufundisha nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au sio!ukiwa makini unatoka na darasa la kipekee sana kwenye shida. kuwa makini inakufundisha nn?
utakuwa shahidi... ni vitu ambavyo huwezi jifunza popote..Kama mimi, for the past two years, I have learned a lot kupitia shida na manyanyaso.
nimethibitisha hiliAu sio!
Achana na hao nyang'au....dawa yao ipo jikoni.Mzee vipi kule Dodoma Ikulu walikufikiria au ndio walikuchinjia baharini mazima?
Washakuchakaza Mzee utawafanya nini?Achana na hao nyang'au....dawa yao ipo jikoni.
Dah sio poa!!Niliwahi kupitia shida na matatizo, nilijihisi kama sina maana ya kuwepo hapa Duniani.
Nilidhihakiwa kisa sina chochote, wengine walitumia kama fimbo kunichapa nayo. Namshukuru Mungu kwa hatua niliyonayo maana bila changamoto zile nisingekuwa vile nilivyo leo.
Usichoke kupambana na kumuomba Mungu kaka, siku yako yaja.
Unapotezaje muda kuoa manzi km huyo mkuu, Ila ndio vile kwa sasa ni wachache snMwanamke anayeweza kusimama na mwanaume wakati wa shida/msoto, huyo ndio rafiki wa kuoa.
[emoji23]Achana na hao nyang'au....dawa yao ipo jikoni.
Real talk mkuuDuniani hujaja kuhurumiwa, usilalamike sana, ooh watu mi hawanihurumii, watu hawanisaidii
Brother hii dunia ni kuteseka tu hamna namna tupambane
Kikubwa ni kutokata tamaa mkuu.Dah sio poa!!
Pole Mzee kipusa!Nani hao?!!Asee ukiwa na shida ;-
1. Watu hawata uona umuhimu wako
2. Watu hawata ijua thamani Yako
3. Watu watamdharau Mungu wako
Dah! Sio poa wanangu!! Sio poa!
[emoji444][emoji445] walinichukulia poa, kumbe mi mwenyewe mtoto wa town [emoji445][emoji444] KULA CHUMA HIKOOOWashakuchakaza Mzee utawafanya nini?
Au sio Kaka!!! Umetisha kaka!Duniani hujaja kuhurumiwa, usilalamike sana, ooh watu mi hawanihurumii, watu hawanisaidii
Brother hii dunia ni kuteseka tu hamna namna tupambane