Shida zisikie tu kwa mwenzako. SIO POA!

Shida zisikie tu kwa mwenzako. SIO POA!

Changamoto nazimudu , issue ipo kwenye shida! Dah sio poa!
Shida ni changamoto iliyokomaa. Kwa mfano kama mtu akipata ajali ya pikipiki na kuumia mguu, hiyo inaitwa ni changamoto, lakini ikitokea baada ya miezi 7 baadae madaktari wakaona ni vema akatwe mguu kwa maana mifupa haiungiki tena hiyo sasa inatoka kuwa shida na kugeuka changamoto.
 
Karma is real and what goes around, comes back around. Checks and balances za mother nature zipo very fair mkuu. Siku ukiwa mkubwa utaelewa.
Niko makini sana. Labda kama makosa yalifanywa na forefathers.....na sasa Mimi ndio nayalipa. Lakini kwà upande wangu najaribu sana kuplay part yangu...
 
Shida ni changamoto iliyokomaa. Kwa mfano kama mtu akipata ajali ya pikipiki na kuumia mguu, hiyo inaitwa ni changamoto, lakini ikitokea baada ya miezi 7 baadae madaktari wakaona ni vema akatwe mguu kwa maana mifupa haiungiki tena hiyo sasa inatoka kuwa shida na kugeuka changamoto.
Au sio! Dizain kama umeongea kinyume
 
Back
Top Bottom