Loimata
JF-Expert Member
- Dec 1, 2022
- 749
- 1,741
Hakika dunia ni sehemu ya kuteseka tu mkuu.hii dunia ni kuteseka tu hamna namna tupambane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika dunia ni sehemu ya kuteseka tu mkuu.hii dunia ni kuteseka tu hamna namna tupambane
Chukua tanoLisilo kuua,litakukomaza.......rest in peace shida.
Tupo mkuu. Tunakanyaga kwa makini
Yatapita tu, keep on fightingAsee ukiwa na shida;
1. Watu hawata uona umuhimu wako
2. Watu hawata ijua thamani Yako
3. Watu watamdharau Mungu wako
Dah! Sio poa wanangu!! Sio poa!
Au sio!Yatapita tu, keep on fighting
Changamoto nazimudu , issue ipo kwenye shida! Dah sio poa!Mungu amfanyie wepesi kila mwenye changamoto
Karma is real and what goes around, comes back around. Checks and balances za mother nature zipo very fair mkuu. Siku ukiwa mkubwa utaelewa.Duniani hujaja kuhurumiwa, usilalamike sana, ooh watu mi hawanihurumii, watu hawanisaidii
Brother hii dunia ni kuteseka tu hamna namna tupambane
Shida ni changamoto iliyokomaa. Kwa mfano kama mtu akipata ajali ya pikipiki na kuumia mguu, hiyo inaitwa ni changamoto, lakini ikitokea baada ya miezi 7 baadae madaktari wakaona ni vema akatwe mguu kwa maana mifupa haiungiki tena hiyo sasa inatoka kuwa shida na kugeuka changamoto.Changamoto nazimudu , issue ipo kwenye shida! Dah sio poa!
Hii ni lyrics ya Langa Kileo (RIP)Lisilo kuua,litakukomaza.......rest in peace shida.
Kwa watoto wa walala hoi wasio na connections.Hakika dunia ni sehemu ya kuteseka tu mkuu.
Niko makini sana. Labda kama makosa yalifanywa na forefathers.....na sasa Mimi ndio nayalipa. Lakini kwà upande wangu najaribu sana kuplay part yangu...Karma is real and what goes around, comes back around. Checks and balances za mother nature zipo very fair mkuu. Siku ukiwa mkubwa utaelewa.
Au sio! Dizain kama umeongea kinyumeShida ni changamoto iliyokomaa. Kwa mfano kama mtu akipata ajali ya pikipiki na kuumia mguu, hiyo inaitwa ni changamoto, lakini ikitokea baada ya miezi 7 baadae madaktari wakaona ni vema akatwe mguu kwa maana mifupa haiungiki tena hiyo sasa inatoka kuwa shida na kugeuka changamoto.
Ulisemalo ni sahihi mkuu, lakini ni mara chache sana kuona mtoto wa kishua anapitia changamoto za kukosa msosi kama sisi wa uswahilini.Pole mkuu ila hata ukiwa na pesa dunia ikiamua kukuadhibu utateseka tu
Generational Curse is just a myth. Usiamini huo upuuzi.Niko makini sana. Labda kama makosa yalifanywa na forefathers.....na sasa Mimi ndio nayalipa. Lakini kwà upande wangu najaribu sana kuplay part yangu...
Au sioUlisemalo ni sahihi mkuu, lakini ni mara chache sana kuona mtoto wa kishua anapitia changamoto za kukosa msosi kama sisi wa uswahilini.
Mkuu, upo Dar kama mimi??Au sio
Unajua namna ya kusafisha mwili wako, ili kuondoa laana katika mwili wako? Au unajua kupiga mswaki na kuoga tu? + Kujipulizia mipafyumuGenerational Curse is just a myth. Usiamini huo upuuzi.