Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ndugu wana Jamii Garage, naomba msaada hapa kwa mwenye ufahamu wa hili tatizo, nawezaje kutatua tatizo la gear shifter kung'ang'ania mwenye P (parking) na haikubali kuhama kwenda kwenye D, N, L, 2 mpaka ibonyezwe button ndogo nyekundu iliyokaribu na hiyou shifter
Natanguliza shukuruni kwa msaada wengu.
Natanguliza shukuruni kwa msaada wengu.