GE2025 Shigongo achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Buchosa, asema hakuna sababu ya uwepo wa makundi

GE2025 Shigongo achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Buchosa, asema hakuna sababu ya uwepo wa makundi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DodomaTZ

Senior Member
Joined
May 20, 2022
Posts
197
Reaction score
233
WhatsApp Image 2025-08-27 at 14.47.43_6176aa81.jpg

Mgombea Ubunge Buchosa, Eric Shigongo akizungumza na wananchi wa Kata ya Kazunzu alipopita kuwasalimia mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge jana Agosti 26, 2025 amewasisitiza Wananchi kuwa na umoja, kuachana na makundi yaliyokuwepo awali wakati wa mchakato wa Kura za ndani.

Shigongo amewashukuru wananchi kwa ushirikiano wao na kuwaomba kutoendelea kuwepo kwa makundi ndani ya Chama ili kushirikiana nao kwa karibu katika hatua za kuendeleza maendeleo ya jimbo hilo.

Awali, Shigongo alivyopofika katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) zilizopo katika Halmashauri ya Buchosa na kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo.
WhatsApp Image 2025-08-27 at 12.53.12_40ed4aa3.jpg

WhatsApp Image 2025-08-27 at 12.53.11_f3d446a8.jpg

WhatsApp Image 2025-08-27 at 12.53.08_473aae16.jpg

Pia soma:
~
Eric Shigongo achukua fomu kutetea Ubunge Buchosa kwa mara nyingine
~ Wananchi Buchosa wameshukuru na kumpongeza Mbunge wao Eric Shigongo kwa miradi ya maendelea, wametoa mitano tena
~ Dakika za jioooni, Eric Shigongo aweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa, Buchosa
 
Back
Top Bottom