Uchaguzi 2020 Shigongo ajiachia kunywa pombe na Wazee wa Buchosa

Uchaguzi 2020 Shigongo ajiachia kunywa pombe na Wazee wa Buchosa

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kupitia CCM, Eric Shigongo James, amejumuika na wazee wa Kijiji cha Nyehunge baada ya kuwakuta wakinywa pombe ya kienyeji aina ya kidugugu ambayo ni maarufu katika maeneo hayo.

Source: Global publisher

NB: Shigongo ni mshirika wa kanisa moja la kilokole linalojulikana kama VCC Mbezi beach .[emoji1]

FB_IMG_1600789308417.jpeg
FB_IMG_1600789298026.jpeg
 
Huyu mbona kama niliwahi sikia Mlokole? Ila siasa ni hatari sana.
Mkuu,hujamuona baba ashkofu mkono wa baunsa akitimua vumbi kwa kucheza singeli kama Mamu wa Buza kwa Mpalangee!!
Kuna mtu kadri siku zinavyosonga,ndivyo anazidi kupata moto,nangojea uchaguzi huu nione itakuwa ni kichurachura,ngumi au sarakasi.
 
Wanasiasa wanafki sana nilimuona mmoja anapepeta mchele mwingine anakula daagaa wakulumangia.

Wanawaona wananchi wapiga kura wajianga sana
Na mwingine alikua anakuna nazi
Mke wa Mh Mstaafu
 
Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kupitia CCM, Eric Shigongo James, amejumuika na wazee wa Kijiji cha Nyehunge baada ya kuwakuta wakinywa pombe ya kienyeji aina ya kidugugu ambayo ni maarufu katika maeneo hayo.

Source: Global publisher

NB: Shigongo ni mshirika wa kanisa moja la kilokole linalojulikana kama VCC Mbezi beach .[emoji1]

Madaraka bhana...!!! Hata imani yake kaitupa kule.
Ila acheni apate ubunge huenda "akajilipa ya 2015" mabango na fulana...
 
Back
Top Bottom