Uchaguzi huu hata kutembea naked utatembea tuHuyu mbona kama niliwahi sikia mlokole? Ila siasa ni hatari sana.
Hatari sana mzee wanasiasa wanajitoa ufahamu kabisa wakati wa Uchaguzi.Uchaguz huu hata kutembea naked utatembea tu
Ova
Siasa imewakutanisha Pengo na GwajimaHuyu mbona kama niliwahi sikia mlokole? Ila siasa ni hatari sana.
Mkuu,hujamuona baba ashkofu mkono wa baunsa akitimua vumbi kwa kucheza singeli kama Mamu wa Buza kwa Mpalangee!!Huyu mbona kama niliwahi sikia Mlokole? Ila siasa ni hatari sana.
Mwaka huu tutaona mengiHuyu mbona kama niliwahi sikia Mlokole? Ila siasa ni hatari sana.
Mlokoke mwizi na tapeli!!??Ni mlokole ndiyo
Uchaguz huu hata kutembea naked utatembea tu
Ova
Na mwingine alikua anakuna naziWanasiasa wanafki sana nilimuona mmoja anapepeta mchele mwingine anakula daagaa wakulumangia.
Wanawaona wananchi wapiga kura wajianga sana
Madaraka bhana...!!! Hata imani yake kaitupa kule.Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kupitia CCM, Eric Shigongo James, amejumuika na wazee wa Kijiji cha Nyehunge baada ya kuwakuta wakinywa pombe ya kienyeji aina ya kidugugu ambayo ni maarufu katika maeneo hayo.
Source: Global publisher
NB: Shigongo ni mshirika wa kanisa moja la kilokole linalojulikana kama VCC Mbezi beach .[emoji1]