Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
aibu ya nini sasa, unamlipia ada ama una msaada gani kwake zaidi ya majunguLibaba lizima halioni hata aibu
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]eriki shigongo naye wamemnyima mkopo wa chuo
Kachaguliwa chuo cha tumaini na yeye first year mwaka huu .
View attachment 625653
Aibu ya nini?Libaba lizima halioni hata aibu
kubwa sanaAibu ya nini?
Hivi na sie wa Open tunaweza kukabana huko bodini manake mmmh!VYUMA.Kubwa zima hovyo
Hapo akisapu nitacheka kweli
Anaweza akasapu masomo lkn kmaisha ameshakuacha mbali sanaaa,he study for leisure wakati ww unawaza ajira kila unapopewa assignment.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kubwa zima hovyo
Hapo akisapu nitacheka kweli
Kubwa zima hovyo
Hapo akisapu nitacheka kweli
We ndo uoni aibu maana umeonesha ushamba mpaka hapoLibaba lizima halioni hata aibu
Aibu ya nini?Libaba lizima halioni hata aibu
umesoma vyuo vya kata ndo maana unaona ajabu, nenda mzumbe utawakuta wazee shigongo cha mtoto sana.Kubwa zima hovyo
Hapo akisapu nitacheka kweli
Elimu haina mwishoLibaba lizima halioni hata aibu