elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Usione aibu when pursuing your dreams hata kama umezeeka.Libaba lizima halioni hata aibu
Yule baba wa KFC angeona aibu kuwa atachekwa na watu yani anakumbuka kuwa mjasiriamari uzeeni kwa kuanza kaanga na uza kuku leo asingeacha legacy...