Shigongo ajiunga Chuo Kikuu kuanza Shahada ya kwanza..

Kusoma na watu wazima kuna changamoto


Nakumbuka kuna mama mmoja tulisoma nae degree wakat wengi class tupo early 20’s yeye ana miaka 48....sasa siku moja nafanya presentation mbele ya class yeye akawa kakaa vibaya nilipata wakat mgumu sana kwakweli
 
Mbona ameandika boko hivyo?
Kama ni yeye ameandika hivyo basi napata wasiwasi na kilichopo ndani ya vitabu vyake!
Ameandika kitu ambacho hakina mpangilio yaani hovyo kabisa...
Huko chuo sijui ataenda kuandika hivyo..!??!
Atadiscontunue semister ya kwanza huyu...
 
hahhaha ndio mkuu, mtu aliye soma vyuo ivo ndo anashangaa mtu mwenye umri wa shigongo kwenda chuo.

mawazo yake anajua chuo ni ubishoo, kuvaa kata k, ku hang na mademu na kulewa mwanzo mwisho.

mtu anayejua elimu huwezi shangaa mkuu
Mtoa mada ushamba unamsumbua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
M nimemaliza na mzee wa miaka 50...shigongo mdogo sana
 
Unamchukia mtu amekuzidi pesa, umri, exposure, PR, influence inakusaidia nini?, nakumbuka issue ya Bakhresa na kudaiwa kodi mwishoni mwa 2015, watu walishangilia mpaka unajiuliza wanafanana nn na huyo unamtakia mabaya. Ni kama huyo Shigongo ana biashara zake, kaajiri wengi pengine hata wewe aweza kukuajiri unambeza tena pengine hata kibanda huna
 
Safi sana achana na wanaosema mtu mzima walitaka uwe mfu, achana na wanaosema libaba lizima walitaka uwe Mama! Wewe soma ukimaliza watakuwa wa Kwanza kusema tulikuwa tunakuombea! Na ukimaliza hutakuta wamefanya cha Maanza zaidi yako Baba! Piga book.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…