Shigongo ameonesha uanaume, na wengine muige

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Shigongo ametoa surprise msibani kwa Grace Mapunda (a.k.a Tesa). Shigongo ametamka bila hofu kuwa Grace alikuwa mpenzi wangu (mchepuko) . Watu wote (wake kwa waume) msibani wakabaki wameduwaa.

Huyu ndiyo mwanaume sasa, haogopi "kuku" (mke) aliyeko ndani kwa sasa. Maana huyo kuku kafugwa na yeye (Shigongo). Akihoji Shigongo atamsepesha.

Mimi nataka wanaume wote wawe kama Shigongo. Chepuka kwa ubabe na mamlaka, halafu muda muafala ukifika tangaza hadharani kuwa ninachepuka na fulani.

Siyo mwanaume unamuogopa mwanamke. Eboo!

 
Nadhani hukumsikia au hukumuelewa alisema ana mambo mawili na la tatu ni la utani kwa kuwa wasukuma na wangoni ni watani Hilo la tatu ndiyo hicho unachokizungumzia.Nadhani wengi huwa hatusikilizi kwa makini.
 
Unaelewa nini kuhusu neno MPENZI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…