joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Tatizo jamaa analeta siasa kwenye issue za kiuchumi, itafika mahala bei itashuka kutokana na soko ila kwa sasa acha apige ela tu ndio wakati wakeShigongo lazima ukubali muziki wetu umekuwa. Nakumbuka Dai alipoanza kutoza mil 10 show zake ata wasanii wenzake walisema ndio anafika mwisho lakini ona alipo sasa.
Mkuu tusiegemee upande mmoja wa shutuma tu. Mimi simtetei huyo Shigongo. Lakini kama ni kweli Diamond anatoza shs milioni 100 kwa show za Dar Live hivi ni nani kweli mtu wa chini ataingia? Ukumbi wenyewe huko uswahilini na hao kweli washabiki wa Diamond mwenyewe wa kipato cha chini watamudu kuingia pale kwa kiingilio kitakachowekwa kufidia hizo mil 100?huyu shigongo alizoea kitonga kutoka kwa wasanii
na kuwanyonya sasa wasanii wameanza kuamka anaanza kuisoma namba..
yeye mbona semina zake za ujasilia mali anatoza pesa nyingi tu wakati ndio zinawahusu watu wa tabaka la chini ili wajikwamue kiuchumi....
tena diamond na wasanii wengine endeleeni kukaza hadi watapike nyongo hawa wanyonyaji..
tena msikubali kupangiwa na mtu sababu wakati mnatunga hizo nyimbo hakuna aliyewashawishi,
wala hakuna aliyewasindikiza studio kurekodi
Usiwasemehe watu sema wewe hutoweza lipa....Diamond alishafanya show pale mlimani watu walilipa laki na si Diamond tuu hata Jide alishafanya pale mlimani city watu walilipa laki sasa una shangaa nini?Mjinga gani hapa Bongo alipie show ya diamond kiingilio cha 100000?
watanzania hukumbuka ya udaku tuu lakini ya maana hawakumbuki.... hata juzi tuu jide pale mlimanicity alilipisha v.i.p laki....Hata miaka 2 haijaisha mmeshasahau viingilio vya Zari All White Party ?
wapi ambapo hoja yangu imepwaya? Mbona yeye shigongo vitabu vyake anauza 15,000? Hiyo ndio bei mashabiki wa diamond wa mbagala live wanaiweza? Diamond kashazidi level za shigongo, shigongo aandae show za hamorapahuna hoja ya msingi. nadhani ungesoma ushauri wa shigingo kwanza ndipo utoe maoni. haya maoni yako hayana tofauti na watoa maoni ya wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu wa 2015. tatizo wabongo mihemko mingi kuliko kutafiti.
wapi ambapo hoja yangu imepwaya? Mbona yeye shigongo vitabu vyake anauza 15,000? Hiyo ndio bei mashabiki wa diamond wa mbagala live wanaiweza? Diamond kashazidi level za shigongo, shigongo aandae show za hamorapa
wapi ambapo hoja yangu imepwaya? Mbona yeye shigongo vitabu vyake anauza 15,000? Hiyo ndio bei mashabiki wa diamond wa mbagala live wanaiweza? Diamond kashazidi level za shigongo, shigongo aandae show za hamorapa
I see your comment ππππππππShingongo bana,yake hayaoni anaona ya wenzie. Enzi hizo hata sasa anatajirika kwa migongo ya wasanii hasa bongo movie kawatumia sana kwa skendo za uongo na kweli.
Naona mnafukua makaburi tu kwa kutuletea uzi wa kitambo angalau tunaupitia kwa mara nyingine baada ya miaka 3I see your comment ππππππππ