GE2025 Shigongo: Hakipo chama kinachoweza kuongoza nchi zaidi ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo amesema hakuna chama cha siasa nchini kinachoweza kuiongoza nchi kwa mafanikio kama CCM.

Shigongo amewaomba wananchi wa Buchosa kukipigia kura chama hicho kwenye uchaguzi mkuu ujao na kumpa kura za kishindo Dk. Samia Suluhu Hassan anayewania urais.

Amesahau alivyolia kipindi kile na midevu yake ikaloa machozi? Siku zi karibu atalia tena, wahuni siyo watu.
 
Wakuu,

Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo amesema hakuna chama cha siasa nchini kinachoweza kuiongoza nchi kwa mafanikio kama CCM.

Shigongo amewaomba wananchi wa Buchosa kukipigia kura chama hicho kwenye uchaguzi mkuu ujao na kumpa kura za kishindo Dk. Samia Suluhu Hassan anayewania urais.

arudi kwenye gazeti lake la umbweya
 
Back
Top Bottom