arudi kwenye gazeti lake la umbweyaWakuu,
Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo amesema hakuna chama cha siasa nchini kinachoweza kuiongoza nchi kwa mafanikio kama CCM.
Shigongo amewaomba wananchi wa Buchosa kukipigia kura chama hicho kwenye uchaguzi mkuu ujao na kumpa kura za kishindo Dk. Samia Suluhu Hassan anayewania urais.