Shigongo: Hatuwezi kuendelea kama Wezi wanaonekana mashujaa, hawaogopi mali ya Umma, wanaiba, hakuna kinachotokea

Shigongo: Hatuwezi kuendelea kama Wezi wanaonekana mashujaa, hawaogopi mali ya Umma, wanaiba, hakuna kinachotokea

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 2, 2026, alipokuwa akichangia hoja Bungeni.
 
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 2, 2026, alipokuwa akichangia hoja Bungeni.

Wapinzani walipokuwa wakipiga kelele huko bungeni, huyu Shigongo na wenzake walikuwa wanawazomea na kuwazimia mic...

Leo yamebaki yenyewe bungeni yanajifanya yapo serious kurudia kauli zile zile za wapinzani zamani...
 
Inawezekana anaongea bila kumaanisha anachoongea!
Maana wote hawa lao moja
 
Back
Top Bottom