Its Tesha
Senior Member
- Oct 6, 2025
- 168
- 608
"Hatuwezi kuwa taifa la watu ambao mtu anayesema serikali vibaya anaonekana shujaa, vijana ni sikilizeni nyie ni Asilimia 75 ya watu wote katika nchi hii, nendeni kwenye mitandao mkatetee ukweli mazuri yaliyofanywa na serikali yetu," Eric Shigongo mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa akizungumza katika mkutano wa CCM leo Oktoba 07, 2025 Sengerema mkoani Mwanza.