Oi wakuu mnajaza server kuwapost hao wapuuzi
amepaliwa na asali na kuvimbewa sawia!"Hatuwezi kuwa taifa la watu ambao mtu anayesema serikali vibaya anaonekana shujaa, vijana ni sikilizeni nyie ni asilimi 75% ya watu wote katika nchi hii nendeni kwenye mitandao mkatetee ukweli mazuri yaliyofanywa na serikali yetu" Erick Shigongo mgombea ubunge jimbo la Buchosa akizungumza katika mkutano wa CCM leo Oktoba 07,2025 Sengerema mkoani Mwanza.
Mbona yeye na gwajima wanajulikanaSujui kwanini nilikuwa natumia muda mwingi kusoma hadn't hadithi za huyu mtu aise dah
Asali ishamlevya atakumbuka tena "mwanangu kunywa maji" kweli? Alililia T-shrt zake na mabango ya mboga mboga pale Lumumba adi tukaona kimeo chake, leo anatuambia nn huyu.Ameshasahau mara hii alivyoambiwa na Zakhia Meghji kunywa maji mwanangu akawa analia lia mitandaoni.
Kuna tatizo gani kuisema serikali?
Kutokujua Dunia ni hatari sana ndugu zangu , uwe na pesa ,cheo ,kama hujui Dunia ni hatari sana."Hatuwezi kuwa taifa la watu ambao mtu anayesema serikali vibaya anaonekana shujaa, vijana ni sikilizeni nyie ni asilimi 75% ya watu wote katika nchi hii nendeni kwenye mitandao mkatetee ukweli mazuri yaliyofanywa na serikali yetu" Erick Shigongo mgombea ubunge jimbo la Buchosa akizungumza katika mkutano wa CCM leo Oktoba 07,2025 Sengerema mkoani Mwanza.