Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
Nami ngoja nijiandae kutangaza nia 2015:eek2:
Utagombea Jimbo gani nianze kukupigia chapuo.Najua utagombea kupitia CHADEMA.Ha ha ha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami ngoja nijiandae kutangaza nia 2015:eek2:
Ishakuwa 2015 tena?
Si ulitangaza nia kwa ajili ya mwaka huu.
Anyway.
Nakumbuka Shigongo aliutaka ubunge tangu 2005.
Alimwagwa na Marehemu Amina Chifupa kwenye viti maalumu CCM.
Ndibalema hapo pekundu vipi? Mimi nilidhani Viti Maalumu ni kwa akina Mama peke yake kumbe na Midume na yenyewe imo?
Shigongo naye anataka kuwa mbunge, twafwa.
Kuandika soft porn kwa teenagers na watu wenye akili zao si sawa na kuandika sheria za nchi jamani.
Ukishangaa ya Musa utaona ya firauni, mimi nilikuwa nashangaa ya Kubenea earlier this week (who is a thousand times more palatable than Shigongo, albeit with his obvious flaws) sasa nakosa nguvu kabisa nikisikia Shigongo naye eti ni contender.
Viti maalimu ina categories nyingi kama vile wanawake, vijana etc. Siyo wanawake tu..
Alaa! ndio maana alikuwa anamwandama sana dada wa watu katika vigazeti vyake! CCM kwa kuwa na wagombea wa ajabuajabu hawajambo. Hawa ndio wanaoteremsha hadhi ya Ubunge.Ishakuwa 2015 tena?
Si ulitangaza nia kwa ajili ya mwaka huu.
Anyway.
Nakumbuka Shigongo aliutaka ubunge tangu 2005.
Alimwagwa na Marehemu Amina Chifupa kwenye viti maalumu CCM.