Shigongo: Kuna vilio vingi kuhusu mabando ya simu, TCRA CCC isimamie, Wananchi wananung’unika

Shigongo: Kuna vilio vingi kuhusu mabando ya simu, TCRA CCC isimamie, Wananchi wananung’unika

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876


Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 30, 2026, ambapo ametoa ushauri kuhusu Serikali kupitia Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC) kuingilia kati kusaidia Wananchi ambao ameeleza kuwa wana manung'uniko kuhusu 'bando' za simu.

Amesema hayo wakati akichangia makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, wakati wa Kikao cha 20 cha Mkutano wa 3 wa Bunge la 13 jijini Dodoma.
 
Internet imekuwa ni anasa, sijui kama serikali inatambua kwamba si kila anayeingia mtandaoni anatafuta siasa. Watu wana kazi zao humo zinazowapa mkate, watu wana mambo mengi ya kufundisha na kujifunza mitandaoni, bando kuwa ghali ni kuwakomoa wananchi
 
Back
Top Bottom