Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona.
Amesema hilo linatosha kumfanya kila mwananchi awe na matumaini makubwa ya kuwa nchi itaendelea kusonga mbele kimaendeleo kwa kasi kubwa.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Shigongo ameyasema hayo baada ya wakazi wa Kijiji cha Rwenchenga, Kata ya Kisisa, Jimbo la Buchosa, kumsimamisha njiani alipokuwa akielekea Kijiji cha Kasisa kuzungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara.
Shigongo amesema changamoto iliyopo kwa sasa ni serikali kupeleka umeme kwenye vitongoji, ambapo serikali inatafuta shilingi trilioni 7 ambazo zitasaidia kupeleka umeme kwenye vitongoji vyote na kuwataka wananchi kuwa na subira wakati Serikali inajipanga kutatua changamoto hiyo.
Video: Global TV