The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema serikali inakamilisha ujenzi wa kivuko kilichogharimu shilingi bilioni nane, chenye uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 800 na magari zaidi ya 20 kwa mara moja, kwa ajili ya kusaidia kurahisisha usafiri katika Kisiwa cha Kome kilichopo Buchosa, Sengerema.
Shigongo ametoa kauli hiyo wakati akizungumuza na wakazi wa Kata ya Kazunzu jimboni Buchosa.
Shigongo ametoa kauli hiyo wakati akizungumuza na wakazi wa Kata ya Kazunzu jimboni Buchosa.