Shigongo wapeleke kozi waandishi wako.

ASIKARI

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
92
Reaction score
22
Waandishi mbali mbali wa magazeti ya shigongo wamekuwa wakiandika habari zisizo kuwa kichwa wala miguu... Hii inatokana na ukweli kuwa hawakupita shule.. Utakuta habari..STARS WA BONGO MUVI ATEKETEZA LAKI MBILI KUNUNUA KUFULI..(CHUPI)..jaman hii ni habari kweli???suala lingine ni juu ya waigizaji wa movie zetu. NDUGU WAANDISHI WA SHIGONGO si kila muigizaji ni STAR...
 
hayo magazeti yapo kwa ajili ya kumomonyoa maadili tu....
 
Wewe ndio uipelekwe kozi ya kujitambuwa maana kichwani hazikutoshi, hakuna binadamu mwenye akili timamu anaweza kununuwa magazeti ya Shigongo.

By the way wala hakuhitajiki Elimu yeyote kuwa muandishi wa magazeti ya udaku kwa sababu wasomaji wake ni vilaza watupu na hawajitambui.
 


Unajua nini kuhusu neno TABLOID NEWSPAPER ....?
Tuanze na hapo kwanza mkuu...
 
Nini maana Ya UDAKU!, mbona hata Uingreza haya magazet yapo!! Habari zake ni kama hizo! Mwacheni Shigongo aokoe janga la Ajira ingawa ci asilimia kubwa!
 
Nini maana Ya UDAKU!, mbona hata Uingreza haya magazet yapo!! Habari zake ni kama hizo! Mwacheni Shigongo aokoe janga la Ajira ingawa ci asilimia kubwa!
Udaku ni habari zakweli ila zinatolewa bila ridhaa ya muhusika au muhusika hakupenda zijulikane, na siyo majungu uongo na uzandiki. Try again.
 

huwa naona vichwa vya habari ...mimi si mdau wa magazeti yasiyo na mbele wala nyuma.
 
Kwamba Kanumba kaonekana Tabata hiyo ndio Tabloid? una akili timamu wewe?
hivi unaonaga
magazeti kama
the sun
the mirror
na new york post wanavyoandika headline zao na habari zilizmo?

jaribu kufuatilia
internet uliyonayo isiwe tu ya kuingia jf

alafu uje ujibu hoja ...
unasubiriwa
 
huwa naona vichwa vya habari ...mimi si mdau wa magazeti yasiyo na mbele wala nyuma.
Na hapa ndipo watz wengi wanapokosea sana tena sana wana judgekitu bila kufanya uchunguzi....
msikilize abdalah mrisho kwenye mkasi aliongea mambo ya maana sana utagain something nyingine ile ya iternet itakusaidia mkuu

ni kazi yangu kuona una wake up
usiichukie
 
hivi unaonaga
magazeti kama
the sun
the mirror
na new york post wanavyoandika headline zao na habari zilizmo?


jaribu kufuatilia
internet uliyonayo isiwe tu ya kuingia jf

alafu uje ujibu hoja ...
unasubiriwa
Ushamba unakusumbuwa, mimi naishi UK, sasa Internet ya nini kununuwa magazeti ambayo nikiingia super market yoyote yamejaa bwelele? au unadhani Members wa JF wapo manzese tu?
 
Ushamba unakusumbuwa, mimi naishi UK, sasa Internet ya nini kununuwa magazeti ambayo nikiingia super market yoyote yamejaa bwelele? au unadhani Members wa JF wapo manzese tu?

Well and good sasa basi nilifikiri utakuwa wa kwanza kutoa elimu ya tabloid...hapa kwa sababu the sun na the mirror wana headlines za ajabu na story yenyewe

Unaweza kuwa unakaa uk au usa ila husomi magazeti na umeshasema hapa kuwa husomi magazeti ya tabloid... kwa hiyo hata yakijaa ma supermarket husomi

Mfumo wa kuandika tabloid duniani kote unafanana kwamba headline lazima iwenna creativity fulani ila i cover habarinya ndani isivuke nje ya mipaka ya habari na cha msingi isivunje sheria na ndio maana hakuna gazeti lolote la global limefungiwa


Since ni tabloid namyanaandika something behind the scene ya maisha ya watu no wonder

Bevelry hills paparazi wanafika hatua ya kupanga appartment ya matajiri kwenye mitaa ya ma celeb ili tu wapate habari za maisha ya watu hasa ma celeb

Kuna tabloid moja iliandika
AP2PAC HE IS BACK

Ndani yake ilikuwa inamsifia kendrick lamar kuwa ni next tupac

Ni creativity tu mkuu...
Elimu ya tabloid kwetu bado sana
 
Magazeti ya huyu self proclaimed "mlokole" ni;

5% ukweli-
Mfano matangazo ya dawa za nguvu za kiume, waganga wa kienyeji na vyuo vinavyofundisha secretarial courses

45% uongo -
heading na habari haviendani (mwananchi pia wame adopt hii syste) neno kigogo sijui lina maana gani anymore

50% udaku -
mfano ni version yao ya freemasons.
hapa sijui kama wanafanya makusudi au wao pia hawajui ilo sijui, Ila najua ili kuuza gazeti wanaweza kupindisha habari yoyote ikae kiudaku udaku ili wawapate wasomaji wengi zaidi

Kuhusu waandishi nadhani yuko more focused on profits na waandishi wa ngazi ya cheti wana punguza gharama za uendeshaji, after all si ni udaku na udaku is always about picha na ki habari kifupi kitamu cha kutunga so mtu wa cheti anaweza pia kufanya hii kazi kwa mshahara mdogo ili ''mlokole" apate faida kubwa.

Nice bussiness model "mlokole" hongera na
Pole kwa wanaoumwa wakikosa hata nakala moja ya magazeti ya "mlokole"
 

Chukua like mkuu.... Natumia mchina pokea hiyo stahil yk....
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…