Magazeti ya huyu self proclaimed "mlokole" ni;
5% ukweli-
Mfano matangazo ya dawa za nguvu za kiume, waganga wa kienyeji na vyuo vinavyofundisha secretarial courses
45% uongo -
heading na habari haviendani (mwananchi pia wame adopt hii syste) neno kigogo sijui lina maana gani anymore
50% udaku -
mfano ni version yao ya freemasons.
hapa sijui kama wanafanya makusudi au wao pia hawajui ilo sijui, Ila najua ili kuuza gazeti wanaweza kupindisha habari yoyote ikae kiudaku udaku ili wawapate wasomaji wengi zaidi
Kuhusu waandishi nadhani yuko more focused on profits na waandishi wa ngazi ya cheti wana punguza gharama za uendeshaji, after all si ni udaku na udaku is always about picha na ki habari kifupi kitamu cha kutunga so mtu wa cheti anaweza pia kufanya hii kazi kwa mshahara mdogo ili ''mlokole" apate faida kubwa.
asante kwa USHUHUDA wako mkuu