Pre GE2025 Shija Shibeshi: Nilinusurika kutekwa wakati narudisha fomu uchaguzi wa 2020 nilipokuwa nagombea Ubunge jimbo la Misungwi

Pre GE2025 Shija Shibeshi: Nilinusurika kutekwa wakati narudisha fomu uchaguzi wa 2020 nilipokuwa nagombea Ubunge jimbo la Misungwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
Mwaka 2020 niligombea Ubunge Jimbo la MISUNGWI.Wakati NARUDISHA fomu 25/08/2020,Nilinusurika Kutwekwa ndani ya Majengo ya Halmashauri huku nikinyooshewa BASTORA mbele ya Mkurugenzi aitwaye MABUBA KISENA ili wanipore Fomu yangu ya Ubunge!!Mungu kawapiga UPOFU Wameanza kujitaja!

IMG-20240901-WA0008.jpg


Maoni yangu : Kama hizi habari hapo juu ni kweli tunahitaji kuwafunga wahusika


Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
 
CCM hawafungani jela ila wanahamishana vitengo tu ....
 
Hata kama mmetengua uteuzi wake lakini Marco Ng’umbi kasema ukweli mchungu.

Kauthibitishia Umma mambo matatu-;

1. Kathibitisha kuwa Maccm hatakubaliki,

2. Kathibitisha kuwa maccm huwa yanaiba Kura,

3. Kathibitisha kuwa Serikali huwa inateka watu na kuwatupa kwenye mapori.
 
Back
Top Bottom